14 Sep 2026 1:41 pm | Citizen TV 497 views Duration: 1:32 Mwanamazingira Dkt. Kalua amezindua mpango wa kutunza miti na kuwataka wananchi kuhakikisha miti wanayopanda inalindwa na kutunzwa hadi ikomae.