Mwanamke ajeruhiwa baada ya nyumba kuchomeka kaunti ya Elburgon Nakuru

  • | NTV Video
    260 views

    Mama mmoja kutoka mtaa wa Salama, Elburgon Kaunti ya Nakuru amelazwa katika hospitali ya Kaunti ndogo ya Elburgon Nakuru kupata matibabu baada ya kujeruhiwa na moto ulioteketeza nyumba tatu za mtaa wao.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya