Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke auawa na radi kijijini Ngor'ngoroi, Elgeyo Marakwet

  • | Citizen TV
    455 views
    Duration: 2:09
    Familia moja katika eneo la Ngor’ngoroi, eneo bunge la Marakwet Magharibi Kaunti ya Elgeyo Marakwet, inaomboleza kifo cha mpendwa wao aliyeuawa na umeme wa mvua ulioandamana na radi.