Mwanamke Bomba | Salma Wanjera anabadili mienendo ya watoto Kawangware

  • | Citizen TV
    292 views

    Kwa watu wengi maisha yalibadilika Kwa namna moja au nyingine baada ya janga la Corona. Salma wanjera alitumia fursa hiyo kubadili mienendo ya watoto wengi katika eneo la kawangware Kwa kuwafunza mchezo WA taekwondo. Salma ambaye anajulikana zaidi kama mama coach pia ameshiriki katika timu ya taifa ya mchezo huo tangu utotoni na kuiwakilisha Kenya katika viwango mbalimbali