Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke Bungoma akumbatia mti kupaza sauti kuhusu ufisadi

  • | KBC Video
    332 views
    Duration: 3:23
    VITA DHIDI YA UFISADI Katika eneo la Magharibi nchi, malalamishi ya kimya kimya lakini ya kuvutia yanaendelea. Mwanamke mwenye umri wa miaka 23 anakumbatia mti, saa baada ya saa, si kwa ajili ya sherehe au kujionyesha bali analenga kutoa uhamasisho kwa kile alichokitaja kuwa jeraha kubwa zaidi la nchi ambalo ni UFISADI. Kitendo chake kinawadia huku takwimu mpya zikifichua maendeleo na kushindwa kupiga hatua katika vita vya Kenya dhidi ya ufisadi. Ripoti yetu, iliyowasilishwa na Aaron Marie, inatathmini kitendo hiki na taswira yake kuhusu hali ya taifa kuhusiana na swala la UFISADI. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive