Mwanamke mmoja anazuiliwa kwa tuhuma za mauaji

  • | Citizen TV
    4,885 views

    Wapelelezi jijini Nairobi wamemkamata mwanamke mmoja kwa tuhuma za kumuua kaimu mkurugenzi wa fedha katika hospitali ya Nairobi Eric Maigo. Cynthia Andalo aliyewasilishwa mahakamani atasalia kizuizini kwa siku tano huku uchunguzi na msako dhiidi ya mshukiwa mkuu ukiendelea.wapelelezi pia wamepata visu viwili vinavyoaminika kutumika kumuua maigo kwani vilikuwa na damu na alama za vidole zinazodaiwa kuwa za mtu mmoja