Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke wa miaka 19 aanguka kutoka orofa ya 15 Kayole, Nairobi

  • | KBC Video
    4,577 views
    Duration: 3:56
    Maafisa wa polisi mtaani Kayole, kaunti ya Nairobi wanachunguza kifo cha Bellacah Wambui Kamau mwenye umri wa miaka 19, anayedaiwa kuanguka kutoka ghorofa ya 15 ya jumba moja mtaani humo. Kulingana na mmiliki wa jumba hilo pamoja na mwangalizi wake, marehemu aliyekuwa mja uzito anadaiwa kuwa na ugomvi wa mara kwa mara na mume wake Antony Njoroge, na alikuwa ametishia kujitoa uhai mara kadhaa. Familia yake sasa inataka uchunguzi kamilifu kufanywa, ili kubaini matukio yaliyoghubika kifo chake. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive