- 657 viewsDuration: 1:17Maafisa wa polisi katika eneo la Makutano, kaunti ya Meru wameanzisha uchunguzi kuhusiana na kifo cha mwanamume wa umri wa miaka 61 ambaye mwili wake ulipatikana ndani ya chumba katika hoteli moja. Wenye hoteli hiyo walisema mwanamume huyo alikodesha chumba hicho akiwa ameambatana na mwanamke usiku uliotangulia. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive