Mwanamume aliyepambana na muuaji wa kujitoa mhanga nchini Pakistan

  • | BBC Swahili
    1,118 views
    Raia mmoja ambaye alimpokonya bunduki aina ya Kalashnikov AK47 mmoja wa washambuliaji wawili wa kujitoa mhanga walioshambulia kituo cha polisi kaskazini-magharibi mwa Pakistani ameelezea jinsi shambulizi hilo lilivyotokea. Mohammed Arshad alikuwa amefika kituoni hapo kwa ajili ya shughuli za kikazi aliposikia risasi kizipigwa. #bbcswahili #Pakistan #shambulio