- 5,741 viewsDuration: 2:12Maafisa wa polisi Kakamega wanamsaka mwanaume mmoja kwa jina Kassim Asman ambaye anadaiwa kumpiga mkewe hadi kufa kutokana na mzozo wa shilingi 5,400 kabla ya kuusafirisha mwili wake wakiwa na mwenzake kwa pikipiki hadi katika hospitali ya rufaa ya Kakamega na hatimaye kuupeleka katika makafani na kisha kutoweka.