15 Dec 2025 7:40 pm | Citizen TV 5,387 views Duration: 43s Polisi kaunti ya Kirinyaga wanamzuilia mwanamume anayetuhumiwa kumbaka na kisha kumuua nyanyake katika kijiji cha Kegwa.