Mwanariadha achomwa moto na mpenziwe

  • | K24 Video
    84 views

    Mwanariadha wa uganda anayeishi humu nchini Rebecca Cheptegei, anauguza majeraha ya moto kiwango cha asilimia 80 baada ya kuchomwa moto na mpenziwe Dickson ndiema usiku wa kuamkia jumapili katika eneo la endebes kaunti ya transnzoia. Kulingana na madaktari wa hospitali ya rufaa ya moi mjini Eldoret ambako anaendelea kupokea matibabu, hali yake si nzuri huku aliyetekeleza unyama huo akiwa anauguza majeraha ya moto ya asilimia 30.