30 Sep 2025 1:06 pm | Citizen TV 226 views Duration: 14:40 Septemba 30 inatambulika kama siku ya tafsiri duniani Siku hii pia hutumika kuwaenzi wataalamu wa lugha Maadhimisho huleta mataifa pamoja kuwezesha mazungumzo Nafasi ya wafasiri wa lugha ni kuimairisha mawasiliano