- 9,448 viewsDuration: 31sTazama video hii kutoka Idara ya Polisi ya Huber Heights huko Ohio, Marekani, inaonyesha mfanyakazi wa usafi akimgundua mwanaume ambaye alikuwa amekimbia ukaguzi wa polisi. Hatahivyo, Polisi wanasema mtuhumiwa huyo alikamatwa bila kujeruhiwa. - - #bbcswahili #marekani #uhalifu #foryouシ Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw