Mwizi wa transfoma auawa na umeme eneo la Belgut

  • | Citizen TV
    1,635 views

    Mwanamume moja anayeshukiwa kuhusika katika wizi wa transfoma alipigwa na nguvu za umeme na kufariki dunia katikati jana usiku katika kijiji Cha cheptororiet eneo bunge la belgut.