- 184 viewsDuration: 1:30Baada ya kuvunja rekodi tatu katika mashindano ya kuogelea ya Mombasa Junior Championship yaliyofanyika ukumbi wa Aga Khan, mpiga mbizi chipukizi mwenye miaka 11, Andy Kodonde, sasa analenga kufanya vyema kitaifa mwezi Mei hapa Nairobi.