Mzimu wa msichana aliyefariki wadaiwa kuhangaisha familia Embu

  • | KBC Video
    17 views

    Taharuki imeghubika kijiji cha Kimangaru eneobunge la Manyatta kaunti ya Embu kutokana na vitukio ambavyo vimehusishwa na mapepo baada ya kifo tatanishi katika eneo hilo. Inasemekana mapepo hayo yanafuatia kifo cha mwanafunzi mmoja wa kidato cha tatu katika shule ya upili ya St Benedict Kithimu mnamo mwezi Februari mwaka huu. Familia hiyo ambayo inadai kuhangaishwa na mapepo sasa inatoa wito wa usaidizi ikitaka mwili wa mwanafunzi huyo ufukuliwe na kuzikwa upya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive