Serikali yaanza kuwafidia waathiriwa wa mizozo kati ya binadamu na wanyamapori

  • | KBC Video
    419 views

    Wizara ya utalii na wanyamapori imeanzisha utaratibu wa kuwatambua na kuwafidia waathiriwa wa mizozo kati ya binadamu na wanyamapori. Waziri wa utalii na wanyamapori Rebecca Miano amesema tayari shilingi milioni kumi zimetumika katika shughuli hiyo na kwamba madai 804 yaliyosalia yatashughulikiwa hivi karibuni. Mwanahabari wetu Timothy Kipnusu na mengi zaidi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive