- 111 viewsMvutano mpya umeibuka kuhusu mpango wa upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Wajir wamiliki wa ardhi walioathirika wakitishia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Kenya pamoja na Serikali ya Kaunti ya Wajir. Wakazi hao wakidai kuwa kuna unyakuzi wa ardhi kinyume cha sheria na kuwa wametengwa katika vikao muhimu vya mashauriano.