Mzozo kuhusu malisho: Utata waibuka eneo la pipeline Nakuru

  • | KTN News
    345 views

    Hali ya mshikemshike imeshuhudiwa katika eneo la new Canaan, katika eneo bunge la gilgil kaunti ya nakuru baada ya wakazi kuwakamata ng’ombe kutoka jamii jirani eneo hilo kutokana na kile wanasema ng’ombe hao kuwaharibia  mazao yao shambani.