18 Sep 2025 1:25 pm | Citizen TV 184 views Wahalifu kutoka makundi mbalimbali huko ruai kaunti ya nairobi wamefikishwa mahakamani kwa kujeruhi wakazi Kutokana na mizozo ya mashamba.