- 1,150 viewsDuration: 3:55Mzozo wa ardhi umeibuka kati ya Wakazi wa eneo la Kangatotha kaunti ya Turkana na Jeshi la kitaifa, KDF, baada ya wakazi kukataa ombi la wanajeshi la kutengewa sehemu ya ardhi ya jamii kwa ujenzi wa kambi ya kijeshi na uwanja wa ndege. wakazi hao wanasisitiza kuwa hawatakubali kutoa ardhi yao kwani ni ndogo na hutumiwa kwa malisho ya mifugo wao na mahitaji mengine ya kila siku