Mzozo wa uongozi katika kanisa la methodist kaunti za Tana River na Lamu watokota

  • | Citizen TV
    33 views

    Mzozo wa uongozi katika kanisa la Methodisti unaendelea kuwaathiri waumini wa kanisa hilo huku waumini katika kaunti za Tana River na Lamu wakizozana kuhusu Askofu mpya aliyetumwa kuwawakilisha waumini katika kaunti hizo mbili.