Mzozo wa Uongozi Meru I Baadhi ya waakilishi wadi wamtetea gavana Mwangaza

  • | KBC Video
    26 views

    Baadhi ya waakilishi wadi katika bunge la kaunti ya Meru wamejitokeza kumtetea gavana wa kaunti hiyo Kawira Mwangaza kufuatia migogoro ya uongozi inayoshuhudiwa katika kaunti hiyo.Wakiongozwa na kiongozi wa wengi katika bunge hilo Victor Karithi,waakilishi wadi hao wamewashtumu wanaompinga gavana na kuwataja kuwa wenye nia mbaya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #kawiramwangaza #darubini