Mzozo wa wafanyabiashara wa samaki umekwisha

  • | Citizen TV
    258 views

    Mzozo wa wafanyibiashara wa Samaki uliokuwepo jijini Eldoret Sasa umetatuliwa. Hii ni baada ya serikali ya Uasin Gishu kuingilia Kati na kupiga marufuku utoaji wa leseni kwa wafanyibiasha waliokuwa wanataka kuingia kwenye soko la Eldoret.