NACADA yasema dawa ya kulevya inayoduwaza waraibu ni mchanganya heroine na dawa za kulala za mifugo

  • | Citizen TV
    215 views

    Bodi ya kukabiliana na dawa za kulevya nchini nacada sasa imebaini kuwa dawa ya kulevya inayosababisha watu kupoteza fahamu au kuduwaa inayojulikana kama FENTANYL haijaingia nchini Kenya