Naibu Gachagua awataka viongozi wa ODM kutochukua nyadhfa za viongozi wengine serikalini

  • | K24 Video
    355 views

    Naibu raisi Rigathi Gachagua amewataka viongozi kutoka chama cha ODM waliojiunga na serikali kutekeleza wajibu wao serikalini na kuhakikisha hawaingilii majukumu wala kutaka kuchukua nyadhfa za viongozi wengine waliowapata serikalini.akizungumza katika hafla ya ibada ya mazishi ya Hellena Bett mamake mfanyibiashara mashuhuri dkt David Langata kaunti ya nandi ,gachagua ameweka wazi hapingi serikali ya umoja ila kila kiongozi anafaa kutekeleza wajibu wake wa kikatiba