- 186 viewsDuration: 2:30SIASA ZA CHUKU Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki ametoa wito kwa viongozi wa kisiasa kuweka kando siasa za mapema za urithi na kuzingatia kutekeleza ajenda ya maendeleo ya Serikali. Akizungumza baada ya mkutano wa mashauriano na viongozi wa Kaunti ya Nandi, Naibu Rais alisema serikali ya Kenya Kwanza bado imejitolea kutimiza ahadi zake kwa wananchi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka ujao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive