Skip to main content
Skip to main content

Naibu Rais Prof Kindiki atoa wito kutekelezwa kwa sheria mpya ya faini ya barabara

  • | Citizen TV
    912 views
    Duration: 1:13
    Naibu Rais prof kithure Kindiki, ameirai idara ya mahakama kuondoa amri ya kuzuia kutekelezwa kwa Sheria mpya za barabarani zinazohusisha faini za papo hapo, kama njia ya kuzuia ajali zinazoendelea kushuhudiwa nchini Akitoa wito huo alipohudhuria ibada ya wafu ya watu 16 waliofariki Kwenye ajali iliyotokea kwenye barabara ya Nyeri kuelekea Mweiga, Kindiki amewarai madereva kuwa waangalifu zaidi barabara na kuzingatia mwendo wanaoendesha magari. Wakati huo huo, Serikali imetakiwa kujenga njia mbadala ya matumizi Kwa waendesha baiskeli Kwenye barabara hio, ajali hii ikitajwa kutokea dereva alipokuwa anakwepa kumgonga mwendesha baiskeli..