Naibu rais profesa Kindiki awataka wakenya kudumisha umoja

  • | KBC Video
    36 views

    Naibu rais Kithure Kindiki amewahimiza wazee na wakazi wa Pwani kuunga mkono ajenda ya maendeleo ya rais William Ruto na kujiepusha na siasa zinazoleta migawanyiko. Akiongea wakati wa mradi wa kuwawezesha vijana na wanawake katika kaunti ndogo za Likoni na Jomvu Kuu, Kindiki alikariri kujitolea kwa serikali kutatua matatizo ya ardhi na kufanikisha ustawi wa kiuchumi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive