Nairobi inadaiwa shilingi bilioni 16 katika muhula wa NMS

  • | TV 47
    156 views

    Kamati ya seneti kuhusu fedha italazimika kumwalika msimamizi wa bajeti wa ikulu katoo ole metito kujibu maswali kuhusiana na deni la shilingi bilioni 16 kwa wafanyabiashara waliotoa huduma kwa kaunti hiyo wakati wa usimamizi wa NMS. Akihojiwa na kamati ya fedha bungeni gavana wa nairobi johnson sakaja pia aliweka bayana kuwa deni hilo lilikuwa chini ya ikulu ikizingatiwa kuwa usiamamizi wa nms ulikuwa kwa serikali kuu huku maseneta wakitaka ukaguzi mkali kufanyika ili wafanyabiashara kupata haki yao.

    #UpeoWaTV47

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __