- 1,499 viewsMsemaji wa Serikali ya Tanzania, Greson Msigwa, amesema kuwa nchi imejipatia chanzo kikubwa cha umeme wa gharama nafuu na kwamba Watanzania wanapaswa kuwa na subira wakati Serikali inachakata na kutekeleza hatua zinazohitajika ili kushusha bei ya umeme. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye Bwawa la Mwalimu Nyerere, Rufiji, Mkoa wa Pwani. Msigwa alieleza kuwa Serikali imewekeza katika miradi mikubwa ya uzalishaji umeme na kuwa, licha ya kiu ya wananchi ya kuona bei za umeme zikishuka, Serikali haitakimbilia kufanya maamuzi ya haraka bila kutathmini madhara yake. “Tanzania sasa ina umeme wa gharama ya chini zaidi Afrika. Gharama zetu za umeme ni za chini kiasi kwamba tunapata changamoto ya kuvutia wawekezaji wa sekta binafsi. Wawekezaji wanapenda kuwekeza kwenye maeneo ambapo gharama za umeme ni juu ili waweze kupata faida kubwa,” alisema Msigwa. Aidha, alisisitiza kuwa Serikali itaendelea kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha kuwa Watanzania wanapata umeme kwa bei nafuu, huku ikijitahidi kuboresha miundombinu na kuchochea ukuaji wa sekta ya nishati nchini. Ripoti ya Amri Ramadhani, VOA, Tanzania. #gresonmsigwa #msemaji #serikali #rufiji #mkoawapwani #bwawa #mwalimunyerere #gharama #serikali #voa #voaswahili #tanzania
'Najua kiu ya Watanzania nikutaka kuona umeme unashuka bei, tuachieni serikali tuchakate...'
- - Duniani Leo ››
- - Local news roundup ››
- 16 Jun 2025 - Assassination of Kasipul MP Ong’ondo Were, death of teacher Albert Ojwang’ and ODM’s internal rebellion have shaken the foundation of Ruto-Raila pact.
- 16 Jun 2025 - More than 100,000 small businesses across the country will benefit from a KSh5 billion grant to boost the enterprises, President William Ruto has announced. The President said the government, in partnership with the World Bank, will provide KSh50,000 to…
- 16 Jun 2025 - Many investigations into police killings in Nakuru have stalled, allegedly due to interference or lack of political will.
- 16 Jun 2025 - President Ruto has accused opposition politicians of lacking a national development agenda.
- 16 Jun 2025 - Manufacturers warn new rules on alcohol will hurt production
- 16 Jun 2025 - The silent STI threat: Why unseen infections are a growing concern
- 16 Jun 2025 - Hidden knife in the Finance Bill that stabs firms
- 16 Jun 2025 - Security budget balloons while justice starves and protesters bleed
- 16 Jun 2025 - Police explanation of Ojwang's death comes from a familiar past script
- 16 Jun 2025 - Ojwang final hours: Hospital CCTV footage exposes gaps in police story