"Namwambi Msajili, hana uwezo wa kututeuli Katibu Mkuu2

  • | BBC Swahili
    3,239 views
    "Mimi nakuambia Msajili, wewe uhitaji kumtambua Katibu Mkuu wa chama chetu (CHADEMA), huna uwezo wa kututeulia Katibu Mkuu wa chama chetu" John Heche, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania akijibu taarifa ya Msajili wa Vyama vya Siasa kutengua uteuzi wa wajumbe wanne wa secretarieti na kamati kuu ya chama. #bbcswahili #tanzania #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw