Skip to main content
Skip to main content

Nana Kilemi apewa heshima kwa kusaidia wagonjwa wa saratani

  • | Citizen TV
    207 views
    Duration: 7:25
    Huku visa vya ugonjwa wa saratani vikionekana kuongeza kila uchao, wengi wanazidi kuhangaika kutokana na mzigo unaombatana na ugonjwa huo. Hata hivyo baadhi ya wagonjwa sasa wamepata afueni baada ya shirika moja kujitolea kutembea nao katika safari ya kukabiliana athari za aina mbalimbali ya saratani. Nana kilemi, mwanzilishi wa shirika la needy cancer health initiative, amekuwa mstari wa mbele kushughulikia mahitaji ya waathiriwa wa saratani. Masaibu aliyopitia baada ya kuathirika na ugonjwa huo yakimpa nguvu ya kuhakikisha wengine hawapitii madhila sawia na yake. Huku ulimwengu ukiendelea kuhamasisha watu dhidi ya saratani, leo tunamvisha taji la Nana Kilemi kutokana na jitihada zake.