Nani ataisaidia Iran

  • | BBC Swahili
    9,818 views
    Israel imekuwa ikiishambulia Iran na karibuni imetamka wazi wazi lengo halisi la operesheni hiyo: mabadiliko ya utawala katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Mwishoni mwa wiki Marekani ilifanya mashambulizi kwenye maeneo matatu ya nyuklia nchini Iran, ambayo ni Fordo, Natanz na Esfaha. Kimsingi Iran iko kwenye vita kamili dhidi ya mataifa makubwa na yenye nguvu kijeshi, Israel na mshirika wake Marekani, Je nani anamuunga mkono Iran? Iran inapigana vita kipweke? @frankmavura na uchambuzi huu - - #bbcswahili #iran #israel #vita #marekani #nyuklia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw