Skip to main content
Skip to main content

Nani kama baba? Amkinga mtoto chini ya treni

  • | BBC Swahili
    9,715 views
    Duration: 42s
    Tazama tukio la kusisimua la baba alivyo mlinda mtoto wake chini ya treni inayopita kasi nchini Bangladesh. Video hii inaonesha baba na mtoto wakiwa wamekwama kati ya ukingo wa jukwaa na reli huku baba akiwa amemkumbatia mtoto wake ili asiumizwe na treni iliyokuwa inapita. #bbcswahili #Bangladesh #viralreels Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw