Skip to main content
Skip to main content

Navakholo: Familia yasitisha maandalizi ya mazishi baada ya mwanao kurejea nyumbani akiwa hai

  • | NTV Video
    371 views
    Duration: 2:00
    Familia ya Navakholo, Kakamega, yalazimika kuondoa taarifa ya kutambua mwili na kusitisha maandalizi ya mazishi baada ya mwalimu Dickson Muganda, aliyekuwa ametafutwa kwa siku kadhaa na kudhaniwa kufariki, kurejea nyumbani akiwa hai. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya