- 55,645 viewsDuration: 1:35Madeni ya umma barani Afrika yanaendelea kuwa changamoto huku viongozi wa bara wakitafuta suluhu endelevu ya mgogoro huu unaokua kwa kasi. Katika mkutano wa Umoja wa Afrika Mwezi Mei 2024 kuhusu madeni ya umma mjini Lomé, Togo ilibainika kuwa zaidi ya nchi 20 za Afrika ziko katika hatari ya kuzidiwa na madeni. #bbcswahili #uchumiafrika #madeniafrika Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw