- 38,277 viewsDuration: 2:19Takriban watalii milioni 307 wamesafiri nje ya nchi katika robo ya kwanza ya mwaka 2026, idadi ambayo ni kubwa kwa takriban milioni sita ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka 2025, kulingana na takwimu kutoka Shirika la Utalii Duniani (UNWTO). - Hii ni ongezeko kubwa linalothibitisha ubora wa mwaka 2025, ambapo idadi ya watalii wa kimataifa ilifikia bilioni 1.52 kiasi kinachozidi takwimu za mwaka 2024 kwa takribani milioni 60. - Hizi ni nchi sita zinazowavutia watalii zaidi barani Afrika Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw