Skip to main content
Skip to main content

NCIC yataka marekebisho ya sheria ya NCIC

  • | Citizen TV
    215 views
    Duration: 1:16
    Tume ya uwiano na utangamano nchini NCIC inalitaka bunge kupitisha mswada wa marekebisho wa sheria za NCIC ili kuipa wajibu wa kuwakamata wachochezi na kuwapeleka kortini.