Hivi sasa wachezaji wa mpira wa miguu wako na kasi kuliko wakati wowote ule miaka ya nyuma.
Vilabu vya mpira vyenye kiwango cha juu vinaanza kutumia sayansi ya neva (neuroscience) ili kuelewa jinsi wachezaji wanavyoweza kufikiri, kufanya maamuzi na kutekeleza mambo kwa kasi zaidi.
CHAPTERS
00:00 - 00:32 : Arsène Wenger kuhusu mustakabali wa soka
00:32 - 01:12 : Jinsi ukakamavu katika soka zinavyoathiri mchezo
01:12 - 01:37 : Unatumia kiasi gani cha ubongo wako unapocheza soka?
01:37 - 02:09 : Ubongo wa Neymar unawaza nini
02:10 - 03:12 : Mazoezi ya ubongo na Akademi ya FC Nottingham Forest
03:12 - 03:53 : Kukabiliana na presha na umakini wa juu
03:53 - 04:18 : Je, ubongo unaweza kufundishwa ili kushinda mikwaju ya penalti?
04:18 - 05:07 : Mo Salah na Liverpool FC katika utendaji bora wa hali ya juu
05:07 - 05:40 : Je, sayansi ya neva ndiyo mustakabali wa soka
#bbcswahili #soka #mpirawamiguu
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw