Skip to main content
Skip to main content

Ndege yagonga jengo refu zaidi China

  • | BBC Swahili
    12,177 views
    Duration: 48s
    Tazama vipande vya mabaki ya ndege vikidondoka baada ya ndege kugonga jengo refu zaidi jijini Beijing na kusababisha kifo cha rubani. Watu 13 walijeruhiwa kufuatia tukio hilo katika mji mkuu wa China. Ndege hiyo ndogo yenye viti viwili iligonga jengo la ghorofa 108, licha ya eneo la jiji la Beijing kuwa na udhibiti mkali zaidi wa anga nchini China. - - #bbcswahili #china #ajali Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw