Skip to main content
Skip to main content

Ndindi Nyoro aonya madeni yatapunguza mgao kwa shule za upili

  • | KBC Video
    300 views
    Duration: 3:56
    Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro amesema serikali inaweza kulazimika kutafuta vyanzo mbadala vya kufadhili elimu ya wanafunzi katika Shule za Upili ikiwa deni la shilingi bilioni 22.5 la mwaka jana litalipwa na pesa zilizotolewa mwaka huu.Mbunge huyo anasema kwamba mara tu deni hilo litakapolipwa kutoka kwa pesa za sasa za shilingi bilioni 26 zilizotolewa mwaka huu, zitasalia shilingi bilioni 3.5 pekee za kugawanywa miongoni mwa wanafunzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive