Skip to main content
Skip to main content

Ndindi Nyoro asema serikali itapoteza mabilioni kwa kuuza hisa za Safaricom KSh 34

  • | Citizen TV
    339 views
    Duration: 1:01
    Mbunge wa kiharu ndindi nyoro sasa anashinikiza mchakato wa uuzaji wa hisa za safaricom usitishwe mara moja akidai kuwa wakenya tayari wananunua hisa hizo kwa bei nafuu ikilinganishwa na bei ya serikali ya shilingi 34 kwa kila hisa. Nyoro anasema kuwa wakenya watapoteza mabilioni ya pesa kwenye uuzaji wa hisa hizo ambapo serikali imetangaza kuuza asilimia 15 ya hisa zake kwenye kampuni hiyo ya mawasiliano.