Skip to main content
Skip to main content

NDOC, Mamlaka ya Kitaifa ya Kuvuna na Kuhifadhi Maji wazuru maeneo ya Nyando kujiandaa kwa El Niño

  • | NTV Video
    733 views
    Duration: 2:51
    Kituo cha Kitaifa cha Operesheni za Majanga (NDOC), kwa kushirikiana na Mamlaka ya Kitaifa ya Kuvuna na Kuhifadhi Maji (NWHSA) na wadau wengine, kinafanya ziara ya pamoja katika maeneo ya Nyando yanayokabiliwa na hatari ya mafuriko, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mvua zinazotarajiwa za El Niño. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya