- 6,752 viewsDuration: 2:05Wengi wanamfahamu Neila Manga kwa uwezo wake wa kuwachekesha watu na kuibua vicheko kila anaposhika kipaza sauti. Lakini nyuma ya tabasamu na vicheko hivyo kuna simulizi ya mwanamke aliyekabiliana na changamoto nyingi za maisha, ikiwemo kufanya kazi za ndani ili kujikimu kabla ya kutimiza ndoto zake. Leo hii anatumia safari yake kuhamasisha wengine kutokata tamaa licha ya vikwazo wanavyokutana navyo maishani. Mwandishi wa BBC @frankmavura amezungumza na Neila na kutuandalia taarifa hii. #bbcswahili #nyotawaafrikamashariki #commedy Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw