Ngamia 13 na mbuzi 74 walioibwa Garissa-Isiolo warejeshwa

  • | Citizen TV
    1,547 views

    Ngamia 13 na mbuzi 74 walioibwa miaka kadhaa iliyopita, walirejeshwa kama njia ya kuleta amani baina ya wafungaji wa Isiolo na Garissa