24 Apr 2026 10:37 am | Citizen TV 1,084 views Duration: 1:38 Ni afueni kwa wafanyibiashara na wakazi wa Malindi kaunti ya Kilifi kufuatia marekebisho ya mabomba ya maji katika kaunti hiyo.