Ni kwa nini Rais Ruto wa Kenya amewaomba Watanzania msamaha?

  • | BBC Swahili
    68,572 views
    Rais wa Kenya William Ruto ameomba radhi taifa jirani la Tanzania. Hii ni baada ya baadhi ya Wakenya katika mitandao ya kijamii kumlenga Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kufuatia hatua ya hivi majuzi ya kufurushwa kwa wanaharakati mashuhuri wa Afrika Mashariki, akiwemo Boniface Mwangi wa Kenya na Agather Atuhaire wa Uganda.