- 6,240 viewsDuration: 1:29Je, kujiuzulu kwa viongozi ni ishara ya demokrasia iliyokomaa? Na kwa nini hali haijawahi kutokea katika nchi za Afrika ambako viongozi wanadai ni za kidemokrasia? Mwandishi wa BBC @frankmavura anaeleza - - #bbcswahili #demokrasia #uingereza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw